Thursday, April 7, 2016

Anonymous

KIKWETE Akiri Kumkabidhi Rais John Pombe Magufuli Uenyekiti CCM

Katika mahojiano aliyoyafanya na BBC , Rais mstaafu Kikwete amekiri kuwa hivi karibuni atakabidhi Uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kwa Rais Maguli na yeye kubaki kama mzee mstaafu lakini maarufu.
Hata hivyo Kiwete amekiri pia kuwa ataendelea kushughulika na maswala ya kimataifa kama sehemu ya kazi yake baada ya kustaafu.
Kile kitendawili cha Chama sasa kimeteguka.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.