Thursday, April 7, 2016

Anonymous

Hiki Ndicho Alichokiandika LULU Miaka 4 ya Kifo Cha KANUMBA

-Lulu Elizabeth Michael
TAREHE NA MWEZI KAMA HUU NDIPO ULITUACHA KIPENZI CHETU, MFALME WA BONGO MOVIE TANZANIA.
INATIA SANA SIMANZI KUENDELEZA TASNIA BILA WEWE, MTU WA KWANZA KUUMIA NI MIMI NA MASHABIKI WAKO...
MOLA AKUPUMZISHE MAHALA PEMA PEPONI, AMEN!
Tafadhali Tumuombee rehma za Mwenyezi Mungu ziwe kwake.
Kwa kuonesha upendo kwake share picha hii kwa wengne nao wamuombee.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.