Blogger Maarufu kwa kuikosoa serikali na mambo mengine ya kijamii amefunguka maoni yake baada ya taarifa kusambaa mitandaoni kuwa kuna kijana amekamatwa na polisi mkoania Arusha kwa kosa la kumwita Rais Bwege kupitia mtandao wa Facebook....
Mange Amefunguka haya hapa:
'Mangekimambi_ Seriously??????? Yani natamani kupasuka kwa hasira. Hivi Nchi ya watu million 50 tunawezaje kukubali watu 30 watunyanyase hivi?? Yes hii sheria imeletwa na less than 100 people and unfairly imposed on 50 million people I mean really? Eti huyo kaka amekamatwa hivyo jana kwa kosa la kumsema Magufuli Facebook . Aliweka comment kuwa siasa za Magufuli Ni za maigizo na kwamba wasimfaninishe huyo bwege na Nyerere.... Really? Hivi mnajua tunaanza Kuwa Kama China or North Korea. Really that statement ni ya kumfanya mtanzania awe harassed na polisi?? Sio lazma kila Mtanzania amsifie Magufuli, Sisi tunaomsifia tunatosha wasiompenda pia wana haki ya kutoa maoni yao wanavyojisikia wao.
Sasa mburulaz ambayo walikuwa hawaelewi why Kina January Makamba walikuwa wanapigania hii sheria, well this is why? Na nilikuwa nawaambia Kila siku hii sheria aim yake ni kutuogopesha kuwakosoa viongozi. Well there you have it. Tena wanaita na media wakija kukushika ili iwe habari ili na Wengine waogope
Really mtanzania hawezi kumuita kiongozi ambae yeye anamuona Bwege (bwege). Hivi bwege tusi?? Eti Wengine wanasupport kakosea kumuita Raisi bwege , yes it's not nice kumuita anyone bwege much less Rais ni ukosefu wa heshima but that doesn't mean eti unatakiwa kuchukuliwa hatua za kisheria. No way..... Kwani Rais ni Nani? Raisi ni mfanyakazi wako wewe Maana unamlipa mshahara na unamlisha yeye na familia yake hatutakiwi kumuogopa Rais tunatakiwa kumuheshimu and respect is earned! Some of us amesha earn our respect but kuna watanzania ambao wanaona he still hasn't earned their respect and when he does they will sing is praises... Na wana ushahidi gani alimaanisha Magufuli ndo bwege? Just because ame comment chini ya pic ya mtu doesn't mean that, Yani hawa wanapoteza pesa za walipa kodi tu ' Mange

Note: Only a member of this blog may post a comment.