Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Wednesday, April 6, 2016
Anonymous
Baraka da Prince Amtambulisha Mrembo Najma Nyumbani Kwao Mwanza
Habari za uhakika zilizotufikia ni kwamba mwanamuziki wa bongo flava hapa nchini Baraka De Prince amemtambulisha rasmi mke wake mtarajiwa Najma kwa wazazi wake huko jiji Mwanza.
Note: Only a member of this blog may post a comment.