Thursday, March 17, 2016

Anonymous

SIMBA SC Kuishitaki TFF Kwa Waziri NAPE

Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba March 16 kupitia kwa mkuu wao wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo Haji Manara wametangaza mambo mawili kuhusuTFF na Hassan Is-haka.

“kamati ya utendaji ya Simba imeamua kumpunguzia adhabu Hassan Is-haka na kumfungia mwezi mmoja, kumlipa nusu mshahara pamoja na kumvua unahodha, lakini baada ya kucheza mechi na Coastal Union hatutocheza mchezo wowote wa Ligi hadi Yanga na Azam FC ifikishe michezo sawa na sisi” >>> Manara

“tunaishitaki TFF kwa waziri Nape kwa kuipendelea Yanga na viongozi wake licha ya kufanya makosa. tumekuwa tukishitaki mambo kadhaa TFF lakini wamekuwa wakifumbia macho eti kwa sababu ni Yanga, tunajua Malinzi alikuwa katibu wa Yanga lakini hatutaki kuamini kuwa anapendelea” >>> Manara

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.