Thursday, March 17, 2016

Anonymous

Marudio ya Uchaguzi Mkuu Zanzibar ni Keshokutwa Tu, Jaji Mkuu wa Zanzibar Kaongea Haya [VIDEO]

Ikiwa siku bado zinahesabika kuelekea uchaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanzibar, March 16 jaji Mkuu wa Zanzibar Omary Othman amefunguka na kueleza mambo kadhaa kuelekea uchaguzi huo ambao unategemewa kufanyika March 20 2016.

“Sisi kama mahakama ya Zanzibar tupo vizuri, kiukweli katika kazi yoyote ile hakukosi changamoto, licha ya kuwa kiutendaji tunaendelea vizuri, kuhusu suala la uchaguzi mtu kushiriki au kutoshiriki hilo ni swala lake mwenyewe binafsi huwezi kumlazimisha” >>>Jaji Omary
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.