Tuesday, March 8, 2016

Anonymous

Mwigizaji NISHA Kayaongea Haya Kuhusiana na BARAKA da Prince… Hizi Ndio Sifa za Mwanaume Anayemtaka MAUA Sama… (255 +Audio)


March 8 2016 ni siku ya wanawake Dunia, kama wewe ni mpenzi wa burudani leo kupitia 255 ya Clouds FM story zilizopata airtime ni pamoja na hizi,
Nikiwaga nyumbani napenda kupika, kuangalia movie kukaa na marafiki, sijaolewa alafu sina boyfriend, mimi ni binadamu kama atatokea boyfriend sitaweza kukataa akitokea basi awe na roho nzuri, roho ya huruma na mpenda Mungu‘>>>Maua Sama
Kwanza kabisa sijawahi kuzungumzia chochote kwenye Media kuhusiana na huyo mtu mliyemtaja sina mahusiano naye yeyote yawe ya kimapenzi au kirafiki yaani namfahamu kama msanii tu na hata kwenye Playlist nilitaja nyimbo ninazozipenda haijalishi watu wanaongea kitu gani alafu sipendi mapenzi‘>>>Nisha Bebee
Na stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini….

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.