MWANASOKA wa timu ya taifa ya Nigeria (Super Eagles)
John Obi Mikel na mpenzi wake, Olga, wamefurahia watoto wao mapacha wa
kike kufikisha miezi sita tangu wazaliwe.
Watoto hao wanaendelea vyema kwa mujibu wa wazazi wao, Olga
Diyachenko na Mikel, ambao walianza mapenzi motomoto mnamo mwaka 2013
walipokutana jijini London ambapo baba wa milionea wa Olga ana biashara
mbalimbali.
Inasemekana pia msichana huyo ana uhusiano na mmiliki bilionea wa klabu ya Chelsea ya Uingereza, Roman Abramovich.
Note: Only a member of this blog may post a comment.