Monday, October 12, 2015

Anonymous

Ipi Ligi Kali; Bundesliga, Serie A au Premier League?!

Mchezo wa soka ndio wenye mashabiki wengi zaidi duniani. Kati ya mashindano makubwa yanayopendwa zaidi ulimwenguni ni ligi mbalimbali zinazochzwa barani Ulaya. Kwa nafasi yako, je ni ipi ligi kabambe zaidi kati ya hizi? Je ni Premier League ya Uingereza? Au ni Bundesliga ya Ujerumani au ni ile Serie A ya Italia?

Kila mmoja wetu atakuwa na mtazamo na mapenzi tofauti juu ya hilo, lakini jambo moja linabaki wazi, wote tungependa kutazama mpira barani Ulaya, tena ikiwezekana BURE, bila kulipia gharama zozote. Hii ndio sababu nimeona si mbaya kukupa kaujuzi kidogo jinsi ya kutazama mashindano haya, hasa weekend hii ambapo kuna timu kubwa kubwa zinacheza.

Kama unatumia simu yoyote yenye Android, yaani kama ni Huawei, Samsung, Tecno, HTC, Sony Ericsson na kadhalika basi leo ni bahati yako. Fuata hatua hapo chini kuweza kufurahia mpira kutoka barani ulaya bure kwenye simu yako.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.