Mwimbaji nyota wa kike wa Nigeria, Yemi Alade.
Lagos Nigeria
MWIMBAJI nyota wa kike wa Nigeria, Yemi Alade, hivi karibuni
alitimiza miaka 27 tangu azaliwe, ambapo aliangusha pati la kufa mtu
lililohudhuriwa na mastaa kibao kama vile Tiwa Savage, Toke Makinwa na
D’banj.
Yemi aliwatolea ‘machejo’ ya minenguo ya miziki yake ambapo naye bila
shaka ataikumbuka siku hiyo vyema kwa kupewa zawadi mbalimbali kutoka
kwa nyota wenzake na marafiki.
Note: Only a member of this blog may post a comment.