Sehemu ya paji la uso aliyojeruhiwa na Paka huyo.
Los angeles, Marekani
STAA wa muziki wa Pop, wiki hii alimuanzia vibaya 
kufuatia kupata majeraha sehemu mbalimbali za mwili wake baada ya 
kukwaluzwa na paka wake.
Cyrus ambaye alionekana kukasirishwa na paka wake huyo, alituma picha mbalimbali kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram zikionyesha majeraha kwenye mwili wake ambapo ilidai kuwa alijeruhiwa na paka huyo.

……Jeraha la mkononi.
Sehemu ambazo zilionekana kuumia zaidi huku damu zikionekana kumtoka 
ni usoni na mkononi. Hata hivyo followers wake walimpa pole kutokana na 
tukio hilo.

Note: Only a member of this blog may post a comment.