Sunday, March 13, 2016

Anonymous

Mabibi na Mabwana CHEGE Chigunda Kawasogezea Video ya Mdundo Wake wa ‘Sweety Sweety Dance’

Mkali kutokea kundi la Wanaume Family, Chege Chigunda kaisogea hii nyingine inayokwenda kwa jina la ‘Sweety Sweety Dance‘ ndani yake akiwa amewashirikisha mastaa kama Runtown na Uhuru huku Kichupa kimetengenezwa na directer kutokea Tanzania, anakwenda kwa jina la Pablo
Unaweza kuitazama hapa chini….

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.