Wednesday, August 5, 2015

Anonymous

Je, CCM Imepaniki Mapema Hivi?! Shuka Nayo Hapa....

Nimeshindwa kuelewa matukio haya matatu, mimi naona maji ya shingo kwa CCM mapema kabisa.
1. Inaonekana kabisa vyombo vya habari vimetishwa kwa kuiangalia ITV tu, wameambiwa watoe priority kwa CCM na ku-ignore za upinzani.
2. Ikiwa mwenyekiti wa CCM anasindikiza kuchukua fomu za mgombea, sijui itakuwaje mpaka october!
3. Suala zima la mgombea wa CCM kutokea kwenye TV akiongelea kuhusu kuipongeza ITV kwa ajili tu eti kipindi kizuri cha barabarani wakati kuna issues nyingi za kitaifa!

Nimehuzunishwa na strategists wa ccm, inaonekana strategists wamepaniki na ccm yote imepaniki.
HAPO NDIO KWANZA SAFARI YA MABADILIKO IMEANZA, NI TSUNAMI KUBWA INAWAKUMBA, WAMEPAGAWA!

-JF

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.