Msanii kutoka Congo Koffi Olomide ameonekana kuwa karibu na mwanadada maarufu kwenye mitandao ya kijamii Kenya anayefahamika kama Corazon Kwamboka.
Koffi Olomide anayetegemewa kufanya show Kenya hivi karibuni ameonekana kaibu na mtoto huyu mkali na inasemekana Koffi akiwa Kenya Corazon Kwamboka ndiye atakuwa kampani yake.
Note: Only a member of this blog may post a comment.