Kwenye mchezo wa mpira wa miguu kwa sasa ni vita kubwa kati ya wachezaji wawili, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
Beki wa timu ya Juventus na timu a taifa ya Italia, Giorgio Chiellini
amesema kabla hujaanza kumkaba Messi lazima uanze kusali kwanza.
Chiellini ameiambia Eurosport kuwa, “Kumkaba Ronaldo ni rahisi sana,
unatakiwa kumdhibiti asipate mpira kwenye mguu wake wa kulia. Kumkaba
Messi ni ngumu sana, lazima uanze kusali kwanza.”
Note: Only a member of this blog may post a comment.