Dayna Nyange.
Stori: Andrew Carlos
Mdada anayefanya poa na ngoma yake ya
Angejua, Dayna Nyange ametoa kasimulizi f’lani amaizing kuhusu jinsi
wasanii wa kike wanapojikuta kwenye mtego wa kutakiwa kutoa rushwa ya
ngono ili wapate mameneja.
Dyana
alisema: “Unajua mimi ni mtoto wa kike, unaweza kukuta jamaa kanipenda
lakini kwa ugumu wangu anatumia mbinu ya kutaka kunimeneji kimuziki.

Note: Only a member of this blog may post a comment.