Friday, March 11, 2016

Anonymous

JUMA Jux Afunguka Kuhusu Aliyekuwa Mpenzi wake Jack Cliff Kujihusisha na Madawa ya Kulevya..

Mwimbaji wa Juma Jux Amefunguka kuhusu aliyekuwa mpenzi wake mrembo Jack Cliff kujihusisha na madawa ya kulevya mpaka akajikuta anakamatwa huko Macau China, Jux Amesema kipindi chote alichokuwa naye hakuwahi kujua wala kuhisi kuwa mpenzi wake huyo anabeba madawa ya kulevya...
“Lakini huwezi amini sikuwahi kutambua kama Jackie Cliff anafanya mambo hayo mpaka alipopata matatizo hayo ndiyo najua mimi, hivyo ilinipa wakati mgumu sana mimi kiasi kwamba nilikuwa sijielewi,” aliongeza.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.