Na Mwandishi Wetu
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Luckyness Mokiwa ‘Luck’ amefunguka kuwa mastaa wengi wamekuwa wakiogopa kuzaa kwa sababu ya kuhofia kupoteza soko lakini yeye anatofautiana nao kwani hajapotea na ‘soon’ anarudi mzigoni.

Luck alisema kabla ya kuanza kulea miezi michache iliyopita, alitoa
kazi kadhaa kama No Stuck on You na Muhanga lakini amepumzika kidogo ili
kujiweka sawa lakini tayari ameandaa filamu tatu atakazoanza kuzifanya
miezi michache ijayo.
“Mimi sijapoteza soko, najiona bado niko fiti. Nimezaa na tayari
nimeanza mikakati ya kufanya kazi mpya tatu kwa mpigo,” alisema Lucky

Note: Only a member of this blog may post a comment.