Monday, February 15, 2016

Anonymous

TAARIFA MBAYA Kuhusu Msanii JOHN WALKER Kupata Ajali, Hizi Ndizo Updates Zimenifikia Sasa Hivi…

February 15 imeanza kusambaa kauli ya kuwa Msanii wa Bongo Fleva kutoka kundi la Watukutu John Walker amelipukiwa na mtungi wa Gesi,taarifa ya uhakika kutoka kwa Omary ambaye ni kaka yake John Walker amesema tatizo hilo lilimtokea John Walker wakati akitengeneza Gari.

Unaweza kumsikiliza hapa chini mtu wangu.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.