Monday, February 15, 2016

Anonymous

Msikilize HOYCE TEMU Kwa Mara ya Kwanza Akizungumza Kuhusu Kuandikwa Vibaya Katika Mtandao wa Instagram

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu ametoa hisia zake kuhusu kuandikwa katika mitandao ya kijamii kupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na Clouds Fm.
Unaweza kumsikiliza hapa chini wakati akizungumzia jambo hilo;

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.