Msanii wa filamu Shamsa Ford akifanya yake.
Na Musa Mateja
Msanii wa filamu Shamsa Ford juzikati alitoa kali ya mwaka baada ya kutinga kwenye Ukumbi wa Sky nightlife uliopo Masaki akiwa ametinga kigauni kifupi ambacho kila alipoinama kwa kucheza alikuwa akimwaga lazi.

Shamsa aliyekuwa kivutio ukumbini hapo alionekana kukongwa na nyimbo
za msanii Belle 9 ambapo kila ulipopigwa wimbo aliinuka akiwa na glasi
yake mkononi na kukata mauno kama aliyekuwa ameahidiwa zawadi nono.

Note: Only a member of this blog may post a comment.