Friday, February 26, 2016

Anonymous

MAJONZI TELE: Taswira ya Msiba wa Mwanamuziki Mkongwe KASSIM MAPILI

1 2 Waombolezaji wakiwa msibani.
3Mtangazaji na Mdau wa Muziki wa Dansi, Rajab Zomboko akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani).
4Msanii wa muziki, Mrisho Mpoto akitoa ratiba ya maziko.
5Muimbaji wa Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akiwa na waombolezaji wengine.
6Aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni, Iddi Azan akiwa msibani hapo.
7Mtangazaji wa Global TV Online, akimhoji Mkongwe King Kiki kuhusu marehemu.
Mamia ya waombolezaji wamejitokeza mapema leo kumsindikiza Mkongwe wa Muziki wa Dansi na Mlezi wa Bendi ya Mjomba, Kassim Mapili baada ya kufariki ghafla akiwa nyumbani kwa mwanaye, Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam.
Picha/ Chande Abdallah

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.