Wednesday, September 9, 2015

Anonymous

BOZI wa BongoMovies Amuota LOWASSA Urais 2015

Fatuma Ayubu ‘Bozi’Shani Ramadhani

VIDEO Queen Bongo Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amesema huwa anaota kila mara kuwa rais ajaye ni Edward Ngoyai Lowassa anayegombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Bozi aliliambia Risasi Mchanganyiko kuwa anaamini uchumi wa nchi utabadilika na maendeleo yatapatikana endapo waziri huyo mkuu wa zamani atachukua usukani.
“Siyo tu kwamba nampenda Lowassa, bali hii inatokana na ndoto ninazokuwa naota kila mara kuwa yeye ndiye atakayekuja kuiongoza nchi yetu baada ya uchaguzi mkuu kufanyika, na nina imani hata uchumi wa nchi utabadilika,” alisema Bozi.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.