Monday, December 7, 2015

Anonymous

Wafanyabiashara Mliokimbilia Ubunge Uwabebe Kwenye Shughuli Zenu imekula Kwenu!


Kama kuna walio na bahati mbaya naongelea wafanyabiashara walioamua kukimbilia bungeni kusaidika.
Hakika kwa speed hii kama kweli umefanikiwaa jiandae kutumikia jimbo kwa nguvu zote tafadhali.

Misamaha ya kizembe na ya kijinga kama zamani haipo tena kwa hapa kazi tu kwakweli. Jipangeni mnasaidiaje jimbo mrudi tena.
Nawatakia la kheri najua sio wote wenye mawazo hayo ila kama uliingia bungeni ili TRA na misaada yake ikubebe imekula kwenu

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.