Monday, December 7, 2015

Anonymous

Kwanini Kati ya Makampuni Yaliyokwepa Kodi Mbona Hatusikii Yanayomilikiwa na LOWASSA?


Zile siasa chafu za nchi hii zinaelekea kujidhiirisha baada ya watanzania kushuhudia makampuni ya wakwepa kodi bila kutajwa kampuni hata moja yenye mahusiano na Lowassa. Kinyume chake kuna harufu ya uvundo inayowahusisha vigogo waliocheza mchezo wa kumchafua.
Ukweli utadhihirika kwamba alizamishwa kwente tope la ufisadi makusudi ili kukatiza safari yake ya "matumaini" na watu waoga wenye nia ya kuila nchi yetu bila kunawa na wenye hofu ya kulipiziwa kisasi?!
Toa maoni yako kuhusu hili hapo chini tafadhali

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.