Monday, November 9, 2015

Anonymous

Baada ya Kupata Ubunge Professor JAY Asema Mipango Kuhusu Music Wake..Kama Ulidhani Ataacha Muziki Basi Soma Hii Ushangae!

Mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Professor J, amesema baada ya kushinda kiti cha ubunge atafanya muziki wake kwa ufanisi kushinda kipindi cha nyuma.

Jay amesema umefika wakati wa yeye kufanya collabo na wasanii wakubwa. “Naendelea kufanya sanaa yangu na huenda nikaifanya kwa ufanisi mkubwa zaidi,” Jay aliiambia East Africa Radio wiki iliyopita.

“Unaweza ukasikia watanzania wanafanya kazi na akina Eminem na Jay Z, kwahiyo nategemea kufanya kwa next level kwa sababu naamini exposure nitakayoipata watu wategemee vitu vizuri zaidi. Nitafungua milango, kwenye muziki wa Bongo Flava tunaenda kufungua ukurasa mwingine kwa ajili ya watanzania.”

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.