Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John
Pombe Magufuli leo asubuhi amemuapisha Bwana George Mcheche Masaju
kuendelea kutumikia nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya
kuteuliwa kuendelea na nafasi hiyo hapo jana.
Note: Only a member of this blog may post a comment.