Wednesday, November 25, 2015

Anonymous

LINEX Aliigonga Gari ya Mkuu wa Wilaya Paul MAKONDA Usiku, Kilichotokea? Bofya Hapa...

Msanii wa muziki wa Bongo Flava Sunday ‘Linex’ Mjeda, ameamua kuelezea mkasa uliomkuta baada ya ‘kuikwangua’ gari ya mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda wiki tatu zilizopita.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook,Linex ameelezea hisani aliyofanyiwa na Makonda licha ya kumfanyia makosa.
Usome ujumbe wake hapo chini then tuachie maoni yako.
“Katika mizunguko ya hapa na pale Kama week mbili tatu zilizo pita majira ya saa 9:00 usiku kwa bahati mbaya nilipiga pasi gari la mtu nikashuka kwa lengo LA kufanya makubaliano nae mala nikashangaa ameshuka mh @paulmakonda kwa kua sijawahi kukaa nae kokote wala kufahamiana nae nikajua Leo yamenifika lakini cha kushangaza aliposhuka


Aliangalia wapi pamekwaruzika then akaniambia ni bahati mbaya wakati mi nilijua atatumia nguvu au nafasi aliyo nayo serikalini kweli usiamini unachosikia au kuona hata chumvi saa nyingine hua Ina fanana na sukari ‪#‎TheVOA” -ameandika Linex.‬

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.