Aliyekua mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA 2015 Edward Lowassa aliyatoa haya maneno mbele ya Wananchi wa Arusha kwenye kampeni za ubunge ambapo Godbless Lema anagombea ubunge wa Arusha mjini, Lowassa alisema bado ana imani siku moja ataingia Ikulu.
Cheki video hiyo===>>BONYEZA HAPA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.