Kesho tarehe 9 Dec. ni siku kuu ya Uhuru!! Rais wa awamu ya tano John Magufuli alitangaza
badala ya siku hiyo kuadhimishwa kama ilivyozoeleka, wananchi waitumie
kufanya usafi katika maeneo yao ikiwa ni moja ya kupambana na ugonjwa wa
Kipindupindu.
Leo Serikali imetoa utaratibu wa namna ya kuadhimisha siku hiyo, ambapo katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue amesema
endapo wafanyakazi watakuwa na kazi muhimu maofisini wanaweza kwenda
kama kawaida , vinginevyo washiriki kufanya usafi katika maeneo yao.
Taarifa hiyo ilisomeka hivi..

Note: Only a member of this blog may post a comment.