Diamond Platnumz, Alikiba na Vanessa Mdee wametajwa kuwania tuzo za muziki za Uganda, HiPipo za mwaka 2016.
Wasanii hao wametajwa kwenye vipengele vya Afrika Mashariki.
Kipengele cha kwanza ni East Africa Super Hit
ambacho kinawaniwa na wasanii wa Kenya na Tanzania. Nana ya Diamond
Platnumz, Nobody But Me ya Vanessa Mdee f/ K.O na Mwana ya Alikiba
zimetajwa.
Kingine ni East Africa Best Video ambapo Nana ya Diamond Platnumz na Nobody But Me ya Vanessa Mdee zimetajwa.
Note: Only a member of this blog may post a comment.