Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Wednesday, December 2, 2015
Anonymous
AJALI MBAYA: Basi la Takbir Lagongana na Lori Usiku Huu na Kuua Watu Kadhaa!
Habari zilizotufikia usiku huu zinaarifu kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea baada ya basi la abiria la Takbir lenye namba za usajili T 230 BRJ lililokuwa likitokea jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza kugongana na lori eneo la Shelui, kijiji cha Kizonzo omkoani Singida.
Note: Only a member of this blog may post a comment.