Tuesday, November 3, 2015

Anonymous

Taarifa na PICHAZ Kutoka Ikulu Kuhusu Uwepo wa T.B Joshua Tanzania..

Zimebaki saa chache kushuhudia tukio la kuapishwa kwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, siku ya tukio hilo itakuwa tarehe 05 November 2015, Dar es salaam.

Zimenifikia picha pamoja na taarifa kutoka Ikulu kuhusu ujio wa Mhubiri wa Kanisa la Church of All Nations  lililopo Nigeria, Mhubiri T.B Joshua ambaye tayari ametua Dar.
T.B Joshua amekuja kama mmoja ya wageni walioalikwa kushuhudia tukio hilo la kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania.

TB Joshua akiwa ameongozana na Dk. John Pombe Magufuli, Rais mteule aliyeshinda Uchaguzi Mkuu Tanzania baada ya kutua Uwanja wa Ndege Dar es Salaam.


Rais Kikwete na TB Joshua.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.