Friday, December 23, 2016

Unknown

Alichosema Jose Mourinho Kuhusu Kubakia Man United Kama Atapewa Mkataba Mpya

Kocha wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amefunguka kuwa anataka kubakia katika kalbu hiyo kwa muda mrefu zaidi kwa kuwa anapenda maisha yake na timu hiyo.

Mourinho ambaye kwsasa ana umri wa miaka 53, alijiunga na klabu hiyo mwezi Julai, na sasa wako katika nafasi ya sita katika jedwali la ligi baada ya mechi 17.
Najua kwamba ipo siku moja wataleta mkataba mpya, nitatia saini. alisema Mourinho wakati akingea na waandishi.

Mourinho pia amesema kwamba hatoelekea kufanya kazi nchini China , japokuwa amekiri kwamba fedha za China zinavutia kila mtu.
Nataka kusalia katika timu yenye changamoto kubwa ya kujipatia ushindi

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.