Ikiwa leo Novemba 5, 2015 ndio Dk.
Jakaya Mrisho Kikwete amemaliza muda wake wa kuongoza Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, huku Dk.John Pombe Magufuli akiapishwa kama rais
wa awamo wa 5 wa kuliongoza taifa hili.
Sasa kupitia kwenye akaunti ya twitter
ya Jakaya Mrisho Kikwete ameyaandika haya maneno hapa chini kuhusu kulitumika taifa
la Tanzania kwa miaka 10..’
Miaka 10 imekwisha.
Imekuwa safari nzuri na yenye mafanikio makubwa kwa nchi yetu.
Taifa letu litabaki salama.
Nawatakia kila la kheri.

Note: Only a member of this blog may post a comment.