Bep Pol amesema baada ya kumaliza salama kushoot video ya wimbo wake
Ningefanyaje na Justin Campos nchini Afrika Kusini alikuwa na mpango wa
kufanya video ya pili.
Akizungumza na Bongo5 leo, Ben Pol amesema video nyingine ilikuwa ni kwaajili ya wimbo wake na Nameless.
“Tulitakiwa ku-shoot video mbili lakini kuna mambo yameingiliana, ni
kwa ajili ya ule wimbo ambao nimefanya na Nameless, sema yeye amekuwa
busy na show za nje so tutapanga tena,” amesema Ben Pol.
Note: Only a member of this blog may post a comment.