Wednesday, December 21, 2016

Unknown

Cheki Picha 11 na Maelezo ya Madaraja ya Ajabu Ambayo Juu ni Msitu Chini Ndipo Magari Yanapita

Tumezoea kuona madaraja ambayo magari hupita chini na juu na pia madaraja ambayo chini huwa ni maji, leo nimekutana na na hii list ya madaraja ambayo juu yana misitu na wanyama wanapita na chini ni barabara ya magari kupita.

Madaraja haya yametengenezwa kwenye njia barabara ambazo pande zote mbili zina msitu ili iwe rahisi kwa viumbe vinavyoishi kwenye misitu hiyo kuvuka upande wa pili, madaraja hayo ambayo yapo kwenye nchi kama Netherlands, Canada, German , Marekani na Ubeligiji

Madaraja haya yanafahamika kama ‘Animal Bridges’ au ‘Eco Bridges’ kwa sababu ya uoto wake wa asili na hifadhi ya wanyama wa porini.
Unaweza kuzitazama picha nimekuwekea hapa chini

Daraja la Interstate 78, Wachtung Reservation, New Jersey, USA

Daraja la Near Keechelus Lake, Washington, USA (rendering, target 2014)

Daraja la The Borkeld, The Netherlands

Daraja la Flathead Indian Reservation, Montana, USA

Daraja la Highway A50 in The Netherlands

Daraja la E314 in Belgium

Daraja la Scotch Plains, New Jersey, USA

Daraja la B38 – Birkenau, Germany

Daraja la The Netherlands

Daraja ya hifadhi ya Banff National Park, Alberta, Canada

Daraja la hifadhi ya Banff National Park, Alberta, Canada

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.