Diamond Platnumz ameiangia mkataba na kampuni ya usimamizi na ushauri
(management consultants) ya Nigeria, Upfront & Personal.
“DONE DEAL!!! you know how it is when you see Mr @pauloo2104 dollarmoneybagboomgun Cc @sallam_sk @ubifranklintriplemg #Nigeria,” ameandika Diamond kwenye picha aliyoweka Instagram ikimuonesha akisaini mkataba huo.
Pamoja na kazi zingine, kampuni hiyo hufanya kazi kama daraja katika ya wasanii na makampuni makubwa. Huwatafutia na husimamia wasanii katika kazi za ubalozi.
“For example we are the brand ambassador management agency for MTN. This role requires that we sign brand ambassadors on behalf of our Clients. We liaise with the celebrities – organising their logistics as necessary- ensuring they are available as per our client’s requirements,” wameandika kwenye website yao.
Note: Only a member of this blog may post a comment.