Monday, October 26, 2015

Anonymous

ZITTO KABWE Awaliza Watu Kwa Ujumbe Huu Aliouandika Usiku Huu Mtandaoni!

Zitto Kabwe akiwa na marehemu Deo Filikunjombe
Usome vizuri hapa
Kwa Heshima ya ndugu yangu Deo Haule Filikunjombe. Kwangu mimi baada ya kifo cha ndugu yangu uchaguzi huu haukuwa na maana yeyote. Hata sijui nitaingiaje bungeni bila Deo. Asante watu wa Kigoma kwa kumpa heshima kubwa Deo wangu

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.