Monday, October 26, 2015

Anonymous

Breaking News: Kimenuka Uchaguzi Mkuu, Watu Wawili Wamepigwa Risasi za Moto na Polisi [PICHA ZINATISHA]


Kutoka DW (Kiswahili) Redio
#‎TanzaniaYaamua2015‬. Kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja, taarifa ni kwamba wamepokelewa watu watatu waliojeruhiwa, wawili kati yao wakiwa wamepigwa risasi ambapo mmoja tayari anafanyiwa operesheni baada ya risasi kupitia ubavuni kuelekea ubavu mwengine. Ripoti kutoka eneo la Jang'ombe zinaeleza kuwa vikosi vya usalama vilipita eneo hilo na kuwashambulia vijana waliokuwa wamejikusanya mitaani. 

Chanzo: DW

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.