
Vibanda vya wafanyabiashara wadogowadogo wateketea kwa moto mjini Njombe chanzo hakifamika, zimamoto wamefanikiwa kuuzima moto huo. Wakati tukio hilo linatokea wananchi bado wanaendelea kusubiri matokeo.

Chanzo: azam tv
Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Note: Only a member of this blog may post a comment.