Thursday, October 29, 2015

Anonymous

Utabiri wa TB JOSHUA Kwa LOWASSA Kuwa Rais Haujatimia...Je Nguvu za Binadamu zinaweza Kuzuia Nguvu za Mungu!

Naleta kwenu maswali machache ili mpate kunisaidia. Katika tabiri nyingi zilizopata kutabiriwa ndani ya vitabu vitakatifu kama BIBLIA na vinginevyo zimekuwa zikitimia pasipo shaka.
Siku za nyuma kidogo huyu nabii anayeitwa TB Joshua Kutoka Nigeria alimtabiria mheshimiwa Edward kuwa ndiye raisi ajaye sasa kila mtu anajua kilicho tokea ni kitu gani muda mfupi uliopita.
SASA NAULIZA HIVI, JE BINADAMU ANAYO MAMLAKA AU NGUVU YOYOTE KATIKA KUBATILISHA KILE KINACHO TAJWA KUWA NI UTABIRI AMBAO UNA BARAKA ZOTE KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU? KAMA NDIO KUNA HAJA YOYOTE YA KUTEGEMEA TABIRI KWA HAWA WANAOJIITA WATUMISHI WA MUNGU?
Hongereni mnaoshangilia ushindi na poleni kwa wale ambao hamkuridhishwa na zoezi lilivyo kuwa.
By Muungwana Mwenzenu Mr Q.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.