Friday, October 30, 2015

Anonymous

Kufuatia Ushindi wa DK MAGUFULI, Kilichofuata Kilikua Hiki Jijijni DAR

Kufuatia ushindi wa Dkt.Magufuli katika kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wafuasi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wamekusanyika jioni hii katika ofisi ndogo za Makao makuu ya chama hicho yaliyopo mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam wakisherehekea ushindi huo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.