Katika dunia ya sasa mtu akifikisha umri wa miaka 70, anakuwa mtu
mwenye bahati sana. Mama yake na Lady Jaydee amesherehekea siku yake ya
kuzaliwa weekend iliyomalizika na mwanae amesherehekea naye.
Kwenye ujumbe alioandika kumpongeza mama yake, Jide amesema mama yake amemfundisha ujasiri, nguvu na kujiamini.
“Happy Birthday to the woman who taught me courage, strength,
confidence and a woman’s worth,” ameandika Jaydee kwenye Instagram.
“Happy 70th Birthday Mama . Thank you for giving and showing me
unconditional love throughout the days of my life . Special thanks to
Serena Hotel #MrKenedy.”
Note: Only a member of this blog may post a comment.