Monday, October 5, 2015

Anonymous

Video: Tazama 40 ya Mtoto wa DIAMOND na ZARI (Tiffah’s 40) Part 1

Mtoto wa Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari, Latiffah alioneshwa sura yake kwa mara ya kwanza Jumapili ya September 20,2015 ambapo pia ilifanyika hafla ya kufikisha siku arobaini tangu kuzaliwa kwa mtoto huyo.

Halfa hiyo iliyofanyika kwenye makazi ya Diamond aliyoyabatiza kama ‘State House’ ilirushwa kupitia Clouds TV kwenye kipindi maalum (Tiffah’s 40), kilichoonesha siku nzima ilivyokuwa kwenye familia ya Diamond kuanzia walipoamka asubuhi hadi wakati wa hafla yenyewe.
Nimekuwekea part 1 ya video hiyo hapa

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.