Sunday, October 11, 2015

Anonymous

[PICHAZ] Wasanii Hawa Wasema 'Huu ni Mwaka wa MABADILIKO ya Ukweli na John MAGUFULI'



Wasanii mbali mbali kutoka Bongo Movie na Bongo Flava wameonesha Umoja katika kulinda na kuhakikisha watanzania wanapata maendeleo ya kweli. Katika Safari zao wamesema kuwa maendeleo ya kweli hayawezi kutokea bila kuwa na kiongozi Muadilifu, mchapa kazi, mkemea rushwa na ufisadi. Lazima kama taifa wananchi wote wajitume, wafanye kazi ili taifa letu liendelee. Kuhusu tatizo la mitaji Dkt. Magufuli ameahidi kutoa Million 50 Kila kijiji kuhakikisha watanazania wote wanashiriki katika kujenga taifa na kuondokana na umaskini. Wamewaomba sana watanzania kufanya maamuzi kwa maslahi ya taifa letu... Wampigie Kura Dkt. Mafugufi...

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.