Sunday, October 11, 2015

Anonymous

CCM Jihadharini na KINGUNGE: Huyu Mzee si wa Kubeza Hata Kidogo!

Kingunge anaijua CCM zaidi ya mtu yoyote nje na ndani ya CCM. Kingunge anajua fitna zote za uchaguzi na hakuna uchaguzi ambao hajawahi kuona wa kisiasa na wala kutoushiriki kwa namna yoyote.
Kinguge amekaa kimya hadi mwishoni. Kingunge alisema amestaafu na ametoka CCM na sasa yuko na mgombea wa UKAWA. Kuna mengi ya kujiuliza ndani ya kingunge.
Siandiki kishabiki ila kuna tetemeko Oct 25. May be Kingunge kaona mbali, wanaombeza wambeze!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.