Friday, October 2, 2015

Anonymous

MPOTO: Nataka Msiba Wangu Uwe Mkubwa!

mpoto (2)
Imelda Mtema
Dah! Mwanamuziki mahiri wa mashairi ya kughani Bongo, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ amefungua kinywa na kusema kuwa anataka siku akifa msiba wake uwe mkubwa. 
Akizungumza na GlobalTV Online wikiendi iliyopita, Mpoto alisema kuwa siku zote anafikiria sana ni jinsi gani aongeze bidii kwenye kila jambo analofanya ili azidi kufahamika zaidi.
“Mimi nafanya kazi zangu kwa umakini zaidi na za uhakika ili jina langu lizidi kupaa siku hadi siku na hata siku nikifa msiba wangu uwe mkubwa,” alisema Mpoto.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.