Imelda Mtema
Makubwa! Staa bonge la bwana kwenye sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ ametamba kuwa ‘atamfufua’ aliyekuwa mwongozaji mahiri wa filamu katika tasnia hiyo, Adam Kuambiana.
Jamaa huyo ameliambia Amani kuwa, japokuwa Kuambiana
ametangulia mbele ya haki lakini atafanya kama bado uwepo wake upo kwa
kuwa filamu ambayo ndiyo ilikuwa ya mwisho kuicheza katika kampuni yake
ya Jerusalem Films.
“Nahisi Kuambiana ‘amefufuka’ upya. Hii filamu aliyocheza ya Mahabusu ni bonge la sinema na hata ukiiangalia ni kama bado yupo,” alisema Jb
Makubwa! Staa bonge la bwana kwenye sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ ametamba kuwa ‘atamfufua’ aliyekuwa mwongozaji mahiri wa filamu katika tasnia hiyo, Adam Kuambiana.
“Nahisi Kuambiana ‘amefufuka’ upya. Hii filamu aliyocheza ya Mahabusu ni bonge la sinema na hata ukiiangalia ni kama bado yupo,” alisema Jb
Note: Only a member of this blog may post a comment.