Sunday, October 11, 2015

Anonymous

LOWASSA Ameshindikana...Baada ya Kusababisha Gharika Arusha Mjini...Shuhudia Aliyofanya Siha Mkoani Kilimanjaro!


SIKU moja kupita baada ya mgombea wa Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda UKAWA Edward Lowassa baada ya kuitikisa Arusha Mjini,sasa mafuriko yake yamehamia wilaya Siha mkoani Moshi na kupokewa na umati mkubwa wa watu huku shughuli ziki simama.
Lowassa amewataka watanzania kufanya maamuzi sahihi kwa kumchagua ili afanikiwe kuwa Rais ili awezi kupambana na tatizo kubwa la umasikini kwa Watanzania.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.